Saturday, 29 October 2016

IJUE AFYA YAKO: CHEMBE YA MOYO

Chembe ya moyo ni tatizo linalowasumbua watu wengi sana kwa sasa. cheembe ya moyo ambayo kwa jina la kitaalamu inaitwa angina pectoris hutokea pale ambapo moyo unakua unapata hewa ya oxygen kidogo tofauti na mahitaje yake. hii hali inaweza kusababishwa na aidha kuziba kwa mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye misuli ya moyo wenyewe na kusababisha misuli hiyo isipate damu ya kutosha inayobeba oxygen hivyo kusabaisha upungufu wa oxygen au pale ambapo moyo unakuwa unafanya kazi kubwa sana ya kusukuma damu kiasi kwamba kiwango cha oxygen ambacho moyo huo unapata kinakua hakitoshi



WATU AMBAO WAKO KWENYE HATARI YA KUPATA CHEMBE YA MOYO

  • wanaovuta sigara
  • wanene kupita kiasi
  • watu wenye kisukari


DALILI ZA CHEMBE YA MOYO
Dalili kubwa ya chembe ya moyo ni maumivu katikati ya kifua ambayoa yanakua yantembea kuelekea mpaka kwanye mkono wa kushoto

MATIBABU YAKE
kuna dawa nyingi zinazo weza kutumika kutibu tatizo hili lakini dawa ambayo ni nzuri zaidi inaitwa nitroglycerine (glyceryl nitrtrate) kwa sababu inaanza kufanya kazi ndani ya muda mfupi( dakika 2 ). dawa zingine ni kama nifedipine,atenolol
pia ikigundulika mishipa ya damu ambayo inapeleka damu kwenye misuli ya moyo imeziba huyo mgonjwa atakiwa kufanyiwa operation kuizibua

17 comments:

  1. Nashukuru sanaaaaa, hakika nimepata Mwanga juu ya Hili.

    ReplyDelete
  2. Na pia Nilikuwa naomba unisaidie Kwa kile wanachosema chembe ya Moyo Kushuka na unakuta kuna watu wanasema wanarudisha chembe ya Moyo.. Email yangu ni benjaminuronu@gmail.com

    Asante

    ReplyDelete
  3. je ningependa kufahamu kama maumiv haya yanaweza kusambaa ad kweny mkono wa kulia

    ReplyDelete
  4. Nina maumivu makali katikati ta kifua na chini kidogo ya mbavu upande wa kulia je ni dalili ta chembe ya moyo?

    ReplyDelete
  5. Asnte kwa kutufamisha maana yupo rafiki yngu yupo na tatizo hili

    ReplyDelete
  6. naomba usaidizi kifua kinauma sana moyo unaenda kasi na maumivu ya shingo upande wa kushoto pamoja na mikono yote kulia na kushoto nimeenda kupima moyo wamesema moyo hauna tatizo pls usaidizi wenu je inaweza ikawa ni chemba ya moyo?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yan wew nimm kabisa naumwa ivo ivo

      Delete
    2. Shida itakuwa kwenye peripheral nerves ....na mzunguko wako wa damu hauko vizuri...

      Whatsapp 0656357443

      Delete
  7. Samahan hata mimi nina hilo tatizo lkn nipo abu Dhabi je uku zinapatkan ospital

    ReplyDelete
  8. Mimi sijui nikiitie chembe cha moyo ama ni maradhi gani,naumwa katikati ya tumbo na kifua apo juu kabsa ambapo ukifinya panabonyea,panauma kias ya kua siezi kufnya kazi yyte,ata nisipokua na kazi nikikaa tuh panauma,nimejarbu kuchanjwa na kuvutwa na glass Ila kimekata kupitwa kbsa,baada ya miezi kinarudi tena

    ReplyDelete
  9. Mie namaumivu makali sana mpaka mgongo kama vichomi kuanzia kwenye matiti mpaka kifuani hata nikinywa Dawa ya maumivi hayaishi hata kugeuka siwezi maumivu balaa Bp105/78 naombeni msaaha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dr Naomba kujua mama kuna uwezekano wa kurudisha Chimba ya moyo iliyoshuka

      Delete