WATU AMBAO WAKO KWENYE HATARI YA KUPATA CHEMBE YA MOYO
- wanaovuta sigara
- wanene kupita kiasi
- watu wenye kisukari
DALILI ZA CHEMBE YA MOYO
Dalili kubwa ya chembe ya moyo ni maumivu katikati ya kifua ambayoa yanakua yantembea kuelekea mpaka kwanye mkono wa kushoto
MATIBABU YAKE
kuna dawa nyingi zinazo weza kutumika kutibu tatizo hili lakini dawa ambayo ni nzuri zaidi inaitwa nitroglycerine (glyceryl nitrtrate) kwa sababu inaanza kufanya kazi ndani ya muda mfupi( dakika 2 ). dawa zingine ni kama nifedipine,atenolol
pia ikigundulika mishipa ya damu ambayo inapeleka damu kwenye misuli ya moyo imeziba huyo mgonjwa atakiwa kufanyiwa operation kuizibua
Nashukuru sanaaaaa, hakika nimepata Mwanga juu ya Hili.
ReplyDeleteNa pia Nilikuwa naomba unisaidie Kwa kile wanachosema chembe ya Moyo Kushuka na unakuta kuna watu wanasema wanarudisha chembe ya Moyo.. Email yangu ni benjaminuronu@gmail.com
ReplyDeleteAsante
je ningependa kufahamu kama maumiv haya yanaweza kusambaa ad kweny mkono wa kulia
ReplyDeleteASANTE
ReplyDeleteNina maumivu makali katikati ta kifua na chini kidogo ya mbavu upande wa kulia je ni dalili ta chembe ya moyo?
ReplyDeleteNdio waweza nitafuta kwa Tiba 0656357443
DeleteAsnte kwa kutufamisha maana yupo rafiki yngu yupo na tatizo hili
ReplyDeletenaomba usaidizi kifua kinauma sana moyo unaenda kasi na maumivu ya shingo upande wa kushoto pamoja na mikono yote kulia na kushoto nimeenda kupima moyo wamesema moyo hauna tatizo pls usaidizi wenu je inaweza ikawa ni chemba ya moyo?
ReplyDeleteYan wew nimm kabisa naumwa ivo ivo
DeleteShida itakuwa kwenye peripheral nerves ....na mzunguko wako wa damu hauko vizuri...
DeleteWhatsapp 0656357443
Samahan hata mimi nina hilo tatizo lkn nipo abu Dhabi je uku zinapatkan ospital
ReplyDelete+255656357443
DeleteNimekuelewa
ReplyDeleteNini matibabu yake
ReplyDeleteMimi sijui nikiitie chembe cha moyo ama ni maradhi gani,naumwa katikati ya tumbo na kifua apo juu kabsa ambapo ukifinya panabonyea,panauma kias ya kua siezi kufnya kazi yyte,ata nisipokua na kazi nikikaa tuh panauma,nimejarbu kuchanjwa na kuvutwa na glass Ila kimekata kupitwa kbsa,baada ya miezi kinarudi tena
ReplyDeleteMie namaumivu makali sana mpaka mgongo kama vichomi kuanzia kwenye matiti mpaka kifuani hata nikinywa Dawa ya maumivi hayaishi hata kugeuka siwezi maumivu balaa Bp105/78 naombeni msaaha
ReplyDeleteDr Naomba kujua mama kuna uwezekano wa kurudisha Chimba ya moyo iliyoshuka
Delete