Thursday, 27 October 2016

NAMNA MWANAMKE ANAVOWEZA KUFUPISHA MZUNGUKO WA HEDHI KWA WALE WANAOCHUKUA MUDA MREFU KULIKO KAWAIDA

Moja kati ya vitu vya pekee ambavyo hutokea kwa mwanamke ni mzunguko wa hedhi. lakini mbali ya kuwa mzunguko huu hutokea kwa wanawake tuu, pia urefu wa mzunguko huu unatofautiana miongoni mwao. kwa kawaida mzunguko huo huwa ni siku 28, lakini baadhi ya wanawake huwa wanaenda mpaka siku 35 kukamilisha mzunguko wao.wingi wa siku hizo mara nyingi unakuwa ni kero kwa baadhi ya wanawake ndio maana nikaamu kutoa suluhisho la jinsi mwanamke anavoweza kufupisha muda wa mzunguko wa hedhi ili kuuleta uwe wa kawaida


VITAMIN C

kwa kutumia vitamini C mwanamke anaweza kufupisha mzunguko wake wa hedhi kwa sababu vitamin C inaongeza homoni ya osterogen ambayo kazi yake mojawapo ni kuporomosha ukuta wa tumbo la uzazi, pia vitamini C hupunguza homoni ya progestrone ambayo kazi yake ni kuimarisha ukuta watumbo la uzazi. vyanzo vya vitamini C ni kama matunda kama machungwa, limao, chenza, zabibu.
Inapoelekea siku ya 28 ya mzunguko ambazo ndo siku za kawaida kwa wanawakea unaweza ukanya juisi ya matunda haya au uwe na tabia ya kunywa juisi ya matunda hayo. Au unaweza ukanunu vitamin C kwenye duka la dawa ukanywa
Tahadhali ambayo unatakiwa kuichukua ni kwambahaitakiwa mtu ambae ni mja mzito atumie kwa wingi vitamini C, pia unapokunywa vidonge vya vitamini C  utumie maaji mengi kwa sababu  vitamin hizi zina hatari ya kusababisha matatizo kwenye figo

2 comments:

  1. Je umekuwa ukisumbuka na hedhi kwa Muda mrefu,yaani inatoka nyingi, au hupati kabisa
    Piga 0657357443 kupata vitamin vyenye uwingi wa vitamin C vinauzwa sh 65,000 tu.

    ReplyDelete
  2. Je umekuwa ukisumbuka na hedhi kwa Muda mrefu,yaani inatoka nyingi, au hupati kabisa
    Piga 0657357443 kupata vitamin vyenye uwingi wa vitamin C vinauzwa sh 65,000 tu.

    ReplyDelete