Sunday, 6 November 2016

universal corner-t shirt na jeans(official video)





leo si alhamisi but sio mbaya hata tuki throw back sunday hebu sema unakumbuka nini hapo

Saturday, 29 October 2016

IJUE AFYA YAKO: CHEMBE YA MOYO

Chembe ya moyo ni tatizo linalowasumbua watu wengi sana kwa sasa. cheembe ya moyo ambayo kwa jina la kitaalamu inaitwa angina pectoris hutokea pale ambapo moyo unakua unapata hewa ya oxygen kidogo tofauti na mahitaje yake. hii hali inaweza kusababishwa na aidha kuziba kwa mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye misuli ya moyo wenyewe na kusababisha misuli hiyo isipate damu ya kutosha inayobeba oxygen hivyo kusabaisha upungufu wa oxygen au pale ambapo moyo unakuwa unafanya kazi kubwa sana ya kusukuma damu kiasi kwamba kiwango cha oxygen ambacho moyo huo unapata kinakua hakitoshi



WATU AMBAO WAKO KWENYE HATARI YA KUPATA CHEMBE YA MOYO

  • wanaovuta sigara
  • wanene kupita kiasi
  • watu wenye kisukari


DALILI ZA CHEMBE YA MOYO
Dalili kubwa ya chembe ya moyo ni maumivu katikati ya kifua ambayoa yanakua yantembea kuelekea mpaka kwanye mkono wa kushoto

MATIBABU YAKE
kuna dawa nyingi zinazo weza kutumika kutibu tatizo hili lakini dawa ambayo ni nzuri zaidi inaitwa nitroglycerine (glyceryl nitrtrate) kwa sababu inaanza kufanya kazi ndani ya muda mfupi( dakika 2 ). dawa zingine ni kama nifedipine,atenolol
pia ikigundulika mishipa ya damu ambayo inapeleka damu kwenye misuli ya moyo imeziba huyo mgonjwa atakiwa kufanyiwa operation kuizibua

Abby Skillz ft Alikiba & Mr Blue - Averina (Official Music Video)





baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu sasa abby skillz anakuletea hii hapa video yake mpya

VIDEO: TIWA SAVAGE - Rewind



sasa unaweza kutazama video mpya ya tiwa savage inayojulukana kama rewind

MSQUIZE MC



kijana mwezetu msanii wa muziki wa hip hop  kutoka mbalizi  anaekwenda kwa jina la MSQUIZE MC anatualika kutazama video yake mpya inayokwenda kwa jina la

Thursday, 27 October 2016

MATOKEO YA DARASA LA SABA

NAMNA MWANAMKE ANAVOWEZA KUFUPISHA MZUNGUKO WA HEDHI KWA WALE WANAOCHUKUA MUDA MREFU KULIKO KAWAIDA

Moja kati ya vitu vya pekee ambavyo hutokea kwa mwanamke ni mzunguko wa hedhi. lakini mbali ya kuwa mzunguko huu hutokea kwa wanawake tuu, pia urefu wa mzunguko huu unatofautiana miongoni mwao. kwa kawaida mzunguko huo huwa ni siku 28, lakini baadhi ya wanawake huwa wanaenda mpaka siku 35 kukamilisha mzunguko wao.wingi wa siku hizo mara nyingi unakuwa ni kero kwa baadhi ya wanawake ndio maana nikaamu kutoa suluhisho la jinsi mwanamke anavoweza kufupisha muda wa mzunguko wa hedhi ili kuuleta uwe wa kawaida


VITAMIN C

kwa kutumia vitamini C mwanamke anaweza kufupisha mzunguko wake wa hedhi kwa sababu vitamin C inaongeza homoni ya osterogen ambayo kazi yake mojawapo ni kuporomosha ukuta wa tumbo la uzazi, pia vitamini C hupunguza homoni ya progestrone ambayo kazi yake ni kuimarisha ukuta watumbo la uzazi. vyanzo vya vitamini C ni kama matunda kama machungwa, limao, chenza, zabibu.
Inapoelekea siku ya 28 ya mzunguko ambazo ndo siku za kawaida kwa wanawakea unaweza ukanya juisi ya matunda haya au uwe na tabia ya kunywa juisi ya matunda hayo. Au unaweza ukanunu vitamin C kwenye duka la dawa ukanywa
Tahadhali ambayo unatakiwa kuichukua ni kwambahaitakiwa mtu ambae ni mja mzito atumie kwa wingi vitamini C, pia unapokunywa vidonge vya vitamini C  utumie maaji mengi kwa sababu  vitamin hizi zina hatari ya kusababisha matatizo kwenye figo